Mfano wa Business Plan Proposal PDF
4.00
Ndugu Mjasiriamali,
Mpangokazi huu una kurasa 36, ni mfano halisia na kamili kabisa kukupatia picha kamili.
HII NI ZAWADI KWAKO msomaji wa makala za Soko la wajasiriamali la Sahili (Sahili Marketplace Network )
Kitabu hiki kimewekwa kama mfano wa kuonyesha ni jinsi gani mtu yeyote aliye mjasiriamali anaweza kutangaza na kuuza bidhaa zake kisasa zaidi Tanzania, Afrika Mashariki, Afrika na Dunia NZIMA! Hakuna vikwazo.
Kwa yule atakayetaka kuanza pia kuuza bidhaa au kuandika makala au kujifunza zaidi chochote unakaribishwa pia kujiunga.
Karibuni nawapenda sana.
– Mashauri


sahili
Changia au uliza swali lolote hapa. Utakapoweka bidhaa yako wateja wataacha maoni na shuhuda zao ‘Reviews’ kama hivi
Issa chilumba
It’s good and educated