Unaponunua mojakwamoja kwa mzalishaji unapata kitu ‘fresh’ na kwa gharama halisi; Mzalishaji anapouza mojakwamoja anapata kupanua wigo wake na faida stahiki ya jasho lake. Tuwaunge mkono wazalishaji wetu
Kupitia blogu unaweza kusoma au kufundisha mbinu mbalimbali za kimaisha.
Kwa kufanya biashara mbalimbali kama manunuzi au mauzo ya bidhaa za kitanzania. Unaweza pa kutoa huduma kama ujenzi, urekebishaji na ufundi wa vitu vinavyoshikika au visivyoshikika kama ‘codes’ za kompyuta (IT man).