Blog

home based economy

Ndugu umewahi kufikiria njia rahisi ya kuendeleza uchumi imara popote. Kwangu nafikiri uchumi imara ni ule wenye misingi imara kutokea chini. Mfano katika kijiji ambacho wananchi wake wanaendesha uchumi kupitia mto fulani: hawataruhusu muwekezaji aharibu chanzo hicho cha maji kwa manufaa binafsi. Siasa za nchi zitakuwa imara kutegemeana na uimara wa kigezo kidogo kabisa cha […]

Yas faida za UKIMWI mwilini. Tena kuna makosa ya kiuandishi ningeandika tu faida za UKIMWI. Au basi faida za UKI mwilini. Nadhani tumeelewana kuwa ninazungumzia Upungufu wa Kinga MWILINI. Nafanya hivi nikiamini kwamba kuhusu suala la hasara mtakuwa mpo vizuri. Hasara za kinga mwilini kama huzijui unaweza kutafuta mtandaoni kuna majarida mengi tu kuhusiana na […]

When Einstein came out with the idea, he worked out the formula and got E = mc2 But today when we want to follow the same footsteps of providing a bold statement with a spectacular formula it is a bit difficult. The difficulty arises out of a fact that while energy is measurable and matter […]

Multiple sclerosis: ni ugonjwa wenye sifa ya kuharibu ushikamanifu wa mfumo wa fahamu haswa kile kiwambo cha mafuta kinachoilinda mishipa ya fahamu. Mara nyingi ikitokea huwa inatokea bila sababu kubwa ya kueleweka japo kama ilivyo ada watu huamua kujiaminisha kwamba labda ni vikemikali/sumu katika mazingira au ni vinasaba vimevurugika. Kama kawaida Uhakika huwa nakuwaga na […]

This is a disease[Multiple sclerosis] characterized by destruction of the integrity of the nervous system, especially the neurons and the covering sheath that protects them, the myelin sheath. Most of the times when it happens, it happens for unknown reasons at large but as usual people tend to believe that it is some chemicals and […]

Nikutoe wasiwasi ndugu msomaji; sehemu hii ya pili haitakuwa na mambo mengi kama ikivyokuwa ile ya kwanza. Kama ujuavyo kujenga msingi ni kazi ngumu inayokubidi kwenda kwanza chini kabla hujaanza kunyanyuka juu. Lakini sasa tunaweza kuendelea na ujenzi maana msingi, ukuta na hadi lenta imeshajengwa katika sehemu ya kwanza. Karibu tuendelee: 3. Wale wenye uwezo […]

Kuna kisa kimoja kilishatokea ulaya huko katika nchi mojawapo inayopenda penda sana mambo ya mpira wa miguu [Kwanza nchi gani isiyopenda mpira!?]. Alikuwepo jamaa mmoja bubu haongei miaka mingi tu mwanzoni alikuwa anaongea halafu akaacha akawa bubu ukubwani, sasa siku hiyo timu ya nchi yake inacheza kukatokea refa kuionea timu yake katika penati nafikiri. Basi […]