Kifaa cha kukamua mafuta
4.00
Hii ni mashine sahili ya kukamua mafuta, imetengenezwa kwa mbao imara. Inasaidia kuchuja mafuta ya nyonyo locally jitengenezee utumie gravity kukufanyia kazi.
Iliyotengenezwa kwa chuma na stainless steel ilikuwa special order sina stock. Muone mhunzi aliye karibu nawe muoneshe picha akutengenezee pia.
Ikiwa utahitaji maelezo zaidi jinsi ya kutengeneza na ufanyaji kazi wa huu ubunifu basi bofya ‘ADD REVIEW’ uandike hilo suala/swali. Karibu.
Aneth
Habari. Hii mashine ya kukamua nyonyo, je inaweza kukamua na nazi?. Na inapatikana wapi.kwa gharama gani?
sahili
Habari mjasiriamali,
Ikiwa ni kama unazungumzia kuyakamua machicha ( kutenganisha) kama kuchuja basi inawezekana ikasaidia kazi hiyo
Na kuhusu upatikanaji wake na gharama pia jaribu kumuonesha picha mhunzi (fundi welding) yeyote aliye karibu akusaidie kuunda kwa vyuma alivyo navyo.
Ushauri: Atumie bolt zenye threads nene kwa ajili ya uimara na urahisi wa kazi.