Crysta 3 Hair Sustainer 100ml

Sh9,500.00
Add to cart

Crysta hair sustainer is uniquelly blended with large portion being avocado oil, pumpkin seed oil and minute quantities of sunflower-rosemary herbal essences infusion.

Mafuta haya yana mchanganyiko uliobebwa kwa kiasi kikubwa na mafuta ya parachichi na mafuta ya mbegu za maboga. Kisha nyongeza ya kiasili cha mrozimery uliobebwa katika mafuta kidogo ya alizeti. Ni mchanganyiko ulio na uwiano bora kabisa kwa kutunza na kuendeleza nywele zako. Inafaa kwa nywele za aina zote hasa nywele ndefu. Vijana wenye tishio la upara/uwalaza wa mapema na wana nywele ndefu basi hili ndio chaguo lao

Reviews

There are no reviews yet.