Crysta 2 Hair Stimulator 100ml

Sh6,000.00
Add to cart

Crysta 2 hair stimulator is a rosemary infused castor oil. Get all the benefits of castor oil with enhanced scalp circulation of rosemary.

Mafuta haya, namba mbili yanakupa faida zote za mafuta halisi ya nyonyo tena kama nyongeza huku rosemary ikihimiza mzunguko wa damu katika ngozi yako ya kichwa. Watu wote wanaohitaji kusisimua kasi ya ukuaji wa nywele ama rasta hili ndio chaguo lao.

Reviews

There are no reviews yet.