Crysta 1,2&3 tripple pack

Sh23,500.00 Sh19,500.00
Add to cart

3 in 1 pack inakuwa na Crysta;

Hair starter, Hair stimulator na Hair sustainer.

Unaweza kuyatumia kila siku na mafuta yake kwa mzunguko ukitumia namba moja siku tatu namba mbili siku moja na namba tatu siku tatu kukamilisha wiki.

Ushauri: Ukichukua namba moja na namba tatu unakuwa umepata vyote, kwa maana ya yaliyomo yanakuwa yamo. Lakini ikiwa unahitaji na mafuta ya nyonyo  kwa wingi basi hata namba mbili pia ichukue uwe na package nzima

Reviews

There are no reviews yet.