Crysta 1 Hair Starter 100ml

Sh8,000.00
Add to cart

Crysta 1 Hair starter is the winning formula, with a blend of castor oil, pumpkin seed oil and  blended with minute quantities of sunflower-rosemary herbal essences infusion contains what is needed for starting healthy hair growth.

Mchanganyiko bora kabisa wa mafuta ya nyonyo, mafuta ya maboga na mrozimery uliofyonzwa kwa kutumia mafuta kiasi ya alizeti. unakupatia mahitaji muhimu kabisha katika kuanzisha ukuaji wa nywele zenye afya.

Shida kama; Tishio la upara/uwalaza wa mapema kwa wanaume. Huzipa afya nywele zako kwa wote wanaume na wanawake. Matokeo mazuri yameripotiwa. Yafaa kwa nywele zote hasa zile fupi.

 

Reviews

There are no reviews yet.