Namna ya kuandika blogu kwa urahisi ukifungua akaunti hapa sahilinet

Angalia. Pengine yawezekana yako mengi tu unayoyafahamu kuhusu unachokifanya, huduma unayoitoa au bidhaa unayoitengeneza. Iwe ni chakula, urembo au dondoo za afya zote zinakaribishwa kuzichapa katika blogu yako mwenyewe. Onyesha ujuzi wagawie ujuzi engine ili wafaidike, lakini kwa kufanya hivyo hawatofaidika peke yao. Wewe pia unafaidika kwa kujipatia zawadi ya ‘Valuable Contributor’ na kuongeza pato na wanunuzi wa bidhaa zako. Sio siri wote tunapenda kupata huduma toka kwa watu ambao ni kweli wanafahamu wanachokifanya.

Hatua za kuchapisha blogu ni rahisi tu:

1. Jiunge kwa kuregister http://sahili.net/wp/register# kama new member na kama tayari ni mtumiaji basi hii hatua huihitaji

2. Nenda chini kabisa kisha bofya sehemu ya ‘site admin’ https://sahili.net/wp/wp-admin/

hapo utaelekezwa katika ukurasa wa WordPress

na utakutana na kitufe cha alama ya kujumlisha.

3. Bofya andika kichwa cha habari kisha vyote ulivyokusudia

4. Tazama kazi yako rekebisha makosa kama yapo

5. Bofya ‘Publish’ umemaliza!!

NB Baadhi ya posts zinahitaji kusubiri kupitishwa na sahilinet hivyo bofya kitufe cha ‘submit for review’ kisha subiri.

Kumbuka kuandika mara kwa mara katika mtandao kunakujengea kuaminika ‘reputation’ na mamlaka juu ya soko la kile unachokifanya.

Naitwa Mashauri na kwa maoni na ushauri kuhusu blogi hii na mengineyo yahusuyo mtandao basi usisite kunitafuta katika ukurasa wangu au kuuliza maswali kupitia mawasiliano yangu hapahttps://sahili.net/wp/shop/sure-productions/