Leo nilikuwa natafuta swali la jumla ya idadi ya nishati ulimwenguni, imepelekea kunistua na kuyumbisha concept ya God is the ENERGY na kuipaisha concept ya God is the LOGIC. Na kuibakisha imara kabisa concept ya kwamba God is the IDEA!! Kwanza someni hii scientific fact from livescience website:”…..it seems that the total energy in the […]