Part A: Unajua sisi wanadamu tuko na akili kuliko sisi? Yaani wewe hapo ulipo uko na akili mingi kuliko wewe unavyojua. Sijui huwa tunakuwa tumejisahau au ni kitu gani? Je ushawahi hata mara moja kujiuliza swali usilolijua kabisa, kisha ukajipa jibu ulilodhania. Halafu ukiamua kwenda mtandaoni au kufungua intaneti kuhakikisha unakuta upo sawa sawia!? Me […]