Rangi ya maziwa sio nyeupe. Hivi kwanza ni wangapi mnafahamu kwamba kiukweli maziwa hayana rangi nyeupe. I mean yanaonekana kama meupe kwa rangi yake kwa harakaharaka lakini sio meupe kiasili. Kiasili kama ni rangi basi maziwa yatakuwa hayana rangi yaani kama maji. Au yakiwa na rangi basi itakuwa rangi ya mafuta hivi japo vinyongezanyongeza vya […]