Nyonyo (Ricinus communis) hujiotea zenyewe katika maeneo ya pembezoni mwa barabara na maporini. Lakini hupatikana pia mashambani na katika sehemu zisizolimwa za bustanini. Pamoja na kuonekana kwake zaidi kama magugu nyonyo/mbarika ni zao ambalo linaweza kupandwa kama mazao mengine. Katika nchi kama India zao hili hulimwa kwa wingi kabisa. Basi kwa leo tutafundishana namna ya […]