Ndiyo. Yaweza kuwa ni jambo la kawaida tu katika maisha hasa tunapokuwa wadogo kuwa na nywele laini za kitoto. Hili halijalishi awe ni mtoto wa kike au wa kiume. Lakini jambo la kushangaza ni kwamba yote hayo hubadilika kadiri mtoto anavyokua na hufikia kilele (cha mabadiliko) pale mvulana anapobalehe au msichana anapovunja ungo! Pamoja na […]