Vitabu sahili dini / imani

LoGo

Elimu kubwa isiyo na mwisho inapatikana katika vitabu. Soma vitabu na elimika. Wote waandishi na waandikiwa wanakutanishwa hapa. Pata elimu hazina isiyoharibika hapa.

GO_HOME
WEWE ! Acha mzaha
Kulijadili suala la mzaha si mzaha.
Mengi kati ya mambo ambayo kimzahamzaha hudhaniwa au hayadhaniwi ndio ukweli halisi husababisha kulegalega katika utii wa kina kwa mungu.
Lengo la maelezo katika mijadala kwenye kijitabu hiki si 'kumtafunia mlengwa ili ameze' bali kumtafunisha kwanza kabla hajameza. Mwenye kutafuna kabla ya kumeza mwili wake husisimka na kujiandaa kikemikali kukipokea kitafunwacho baadaye hukifanya sehemu ya mwili na makapi huyaruhusu kutoweka. Si kila wazo katika mijadala hii litakidhi ufahamu wa kila msomaji bali baada ya msisimko wa kuwaza na kuwazua, yenye 'kuwafaa' yatazama katika fikra na makapi yatatoweka.
Alfonsi S MAHUYEMBA 0754031284
Kwa maswali na maelezo zaidi tumia barua-pepe bidhaa@sahili.net

 • gamba

 • Nahitaji softcopy
  Kitabu chenyewe ( tsh)
  Mahali ulipo/mji
  Email
  Namba ya simu
  Idadi ya kopi


  Mungu hutaka NINI
  ......
  Kipo jikoni
  Kwa maswali na maelezo zaidi tumia barua-pepe bidhaa@sahili.net

 • Kinaandaliwa

 • Nahitaji softcopy
  Kitabu chenyewe(Kinaandaliwa)
  Mahali ulipo/mji
  Email
  Namba ya simu
  Idadi ya kopi


  The code(s) we live by
  ......
  The book is still under development, but can be read and commented upon.
  What is your perspective
  Kwa maswali na mapendekezo tumia barua-pepe bidhaa@sahili.net

 • gamba

 • Taarifa zilizo katika mtandao huu hazilengi kuwa mbadala wa taarifa rasmi kutoka katika vyombo vyenye mamlaka kama, daktari au mtoa huduma ya afya. Au sekta yoyote rasmi. Taarifa na habari hizi ni kwa ajili ya ujuzi tu.