tafiti sahili

LoGo

Usisite kuwa mmoja wa washiriki wa tafiti hizi zinazoendeshwa kwa njia ya mtandao. Hii ni kusaidia na kuwafikia watu wengi zaidi. Unakaribishwa kutumia ukurasa huu pia kuendesha utafiti wako.

GO_HOME

Tafiti Zinazoendelea

Simu na maumbo yetu
Mambo madogo madogo yanaweza kuwa na uhusiano tata sana na bailojia! Je namna tunavyotumia simu zetu, ina uhusiano moja kwa moja na muonekano wetu? shiriki utafiti huu kusaidia kuweka bayana uhusiano huo ikiwa upo. Shiriki


Joto au baridi
Tunaishi katika mazingira yenye hali tofautitofauti. Joto, baridi na unyevunyevu vikibadilika kila kukicha. Utafiti ufuatao unaangazia changamoto pamoja na maoni ya wananchi kuhusiana na hali ya hewa. Shiriki


Endesha utafiti kwa njia ya mtandao
Wasiliana nasi kwa msaada
Tumia ukurasa huu hapa

Au wasiliana nasi kupitia hapa