sahili

LoGo

Kuhusiana na huduma, udhamini wa tafiti. Kupata wasaidizi wa tafiti au uchanganuzi wa data. Kutoa chapisho tumia njia ifuatayo.

GO_HOME

Watu wengi hususani wanafunzi wamekuwa wakifanya tafiti zenye kulenga moja kwa moja maisha ya watu. Tafiti hizo zimekuwa haziwafikii walengwa kutokana na vipingamizi mbalimbali ikiwamo lugha. Weka hapa utafiti wako ili uwafikie walengwa sasa. Unaweza kuweka utafiti wa kiingereza iwapo tu utaambatana na makala ya kiswahili kufafanua katika namna inayoeleweka wazi(Tumia mfano wa muundo chini).
Kwa ajili ya kupakia/upload.
Andaa kazi yako katika moja ya mtindo wa pdf au doc/word.(pdf ya kingereza(ukitaka) na doc/word ya kiswahili)
Kwa lugha ya kiswahili andaa makala au tafiti (Ya kiingereza iambatanishwe kama ipo).
Kisha tuma kupitia barua pepe wasilisha@sahili.net Au (kwa tafiti tu) tuma kwenda tafitisahili@sahili.net
Kwa kufanya hivyo unaruhusu kazi yako kusambazwa na kuwafikia watu wote.

Au tumia njia ifuatayo;

Pakua hapa kusoma mfano wa muundo: muundo Kuona mfano kutoka kwa wengine hapa
Jina
Kipengele lengwa;
Email itakapofunguka utaambatanisha/attach kazi unazohitaji kusambaza
Maelezo mafupi
Tuma kazi zenye uhusiano pamoja. Mfano makala na tafiti yake pamoja na huduma au kitabu chake. Muhimu: vyote viwe ni mali yako.