tafiti sahili

LoGo

Research conducted by the Sure! research facility /Utafiti huu ni wa Sure! productions

LoGo

Answer the following questionaire once only please. You can always follow the results of the whole research through the website . We promise to respect your privacy. .. We appreciate for your time. However optional, there will be small prizes for those interested. Unaombwa kushiriki utafiti si zaidi ya mara moja. Majibu yatachapwa katika tovuti na kwa ambao watapenda kushiriki wanaweza kujishindia zawadi.

GO_HOME
MATUMIZI YA SIMU NA VIFAA VINGINE NA UTUNZAJI WAKE.
Utafiti huu unahusu namna mbalimbali ambazo wamiliki wa simu hutumia simu zao au vifaa vingine. Suala zima la uchajishaji na muda.
Msaada wake katika maisha yetu . Na mwisho ikiwa upo uhusiano wowote na muonekano wetu!
Changamoto zake, hasa katika kuchaji
Maoni yako
Kwa maswali na ufafanuzi email kwa tafitisahili@sahili.net moja kwa moja.

(PHONE AND OTHER DEVICES USAGE AND MAINTENANCE.
This research is about various ways phone owners use their devices. Mobile rechargeable devices and smartphones inclusive. In toto usage including charging and time management.
Importance of the gadgets. And the association, if any with our appearances!
Challenges, especially on charging
Your opinion
For questions and clarification send an email direct to tafitisahili@sahili.net )

Si lazima kubofya Ridhaa (You may skip Consent)FIRST SECTION/ SEHEMU YA KWANZA:
1.
(a) Name (optional)/Jina(si lazima):

(b) Occupation/ Kazi:
(c) Age (yrs)/ Umri (miaka):
(d)Gender/ Jinsia yako
M/ Me
F/ Ke

SECOND SECTION/ SEHEMU YA PILI:
The following questions are answered using one device of your choice. Maswali yafuatayo yajibiwe kwa kutumia kifaa kimojawapo utakachochagua.
2. Type of gadget/ Aina ya kifaa unachotumia.
3. Aproximate duration of charging/ Wastani wa muda unaotumia kuchaji

4. Write the percent your device has right now/ Andika asilimia ya chaji iliyopo kwenye simu yako sasa hivi.

Percentage in which you start charging(check)/ Kawaida unachaji ikiwa na asilimia ngapi(tiki)
0%
5%
10%
20%
30%
40%
50%
60%
70%
80%
90%
More than 90%/ zaidi ya 90%
Any percentage/ Asilimia yoyote

5. In case of electricity shutdown you will prefer your device to be at what percentage?
Ikiwa umeme utakatika ungependa kifaa/simu yako iwe na asilimia ngapi?
5%
10%
20%
30%
40%
50%
60%
70%
80%
90%
More than 90%/ zaidi ya 90%
Any percentage/ Asilimia yoyote

6. You regard that a friend has low charge their devices reaches which % remaining?
Unachukulia kwamba jamaa/rafiki ana chaji kidogo ikiwa ana asilimia ngapi zilizobaki?

7. In case a friend needs to charge theirs, you will let them when you have which percentage?
Unaweza muachia rafiki achaji ikiwa simu yako ina asilimia ngapi?
more than 20%/ zaidi ya 20%
more than30%/ zaidi ya 30%
more than 40%/ zaidi ya 40%
more than 50%/ zaidi ya 50%
more than 60%/ zaidi ya 60%
more than 70%/ zaidi ya 70%
more than 80%/ zaidi ya 80%
more than 90%/ zaidi ya 90%

8. On average what is the overall charge percentange in your device/phone?/ Kikawaida hicho kifaa au simu yako ina wastani wa asilimia ngapi za chaji?
Below 40%/ chini ya 40%
About 40%
About 50%
About 60%
Above 60%/ zaidi ya 60%

9. Opinion on electricity stability/ Maoni kuhusu upatikanaji wa umeme


THIRD SECTION/ SEHEMU YA TATU

10. Atmospheric climate of the place you are now/ Hali ya hewa ya eneo unaloishi sasa
Hot/ Joto
Cool/ Baridi

11. Atmospheric climate of your prefference/ Hali ya hewa unayopendelea
Hot/ Joto
Cool/ Baridi

12. (a) Body size/ Umbo la mwili optional

(b) Approx. height cm/ Makadirio urefu sm
(c) Approx weight kg/ Makadirio uzito kg


13. How would you like to affect your weight/ Ungependa uzito wako
Increase it/ Uongezeke
Reduce it/ Upungue
Maintain/ Ubaki kama ulivyo

14. Residence city /region / Unatokea mkoa au mji gani?


LAST SECTION (optional)/ SEHEMU YA MWISHO (Hiyari)

Residence city /region / Unatokea mkoa au mji gani?

Hakikisha hakuna kiungio chochote kinachosema "Ambayo bado kujibiwa" Ikiwa kipo bofya ili kujibu. Jaribu kugusia kila swali lililoulizwa. Kisha 'Tuma majibu'.
Asante sana..