tafiti sahili

LoGo

Research conducted by the Sure! research facility/ Utafiti unaendeshwa na Sure! research facility

LoGo

Answer the following questionaire once only please. You can always follow the results of the whole research through the website . We promise to respect your privacy. .. We appreciate for your time. However optional, there will be small prizes for those interested. Unaombwa kushiriki utafiti si zaidi ya mara moja. Majibu yatachapwa katika tovuti na kwa ambao watapenda kushiriki wanaweza kujishindia zawadi.

GO_HOME
TOWARD COMFORTABLE ATMOSPHERE
Utafiti huu unafanywa kuona ukubwa wa tatizo na ni njia gani yafaa zaidi katika kuwasaidia watu na hali zao. Ikiwa ni pamoja na kuboresha maeneo ya kufanyia kazi maeneo ya kufanyia kazi.
Changamoto
Upendeleo
maoni
Unaombwa kushiriki kikamilifu ikiwa ni pamoja na kutoa maoni au ushauri.
NB; This is open to hear from any viewpoints.
Remember to click SUBMIT when you finish.
. Na mambo mazuri hayahitaji haraka TAKE YOUR TIME.
Email kwa mtafiti mashauri777@gmail.com.


SEHEMU YA KWANZA
1. Name (optional):
2. Kazi ama elimu uliyonayo sasa:
3. Jinsia yako (muhimu)
Wa kiume
Wa kike

4. Unaizungumziaje hali ya hewa ya eneo unaloishi sasa?

5. Na je ungependa hali ya hewa iwe vipi katika jengo unamofanyia kazi au unamoishi?
Ipashwe joto
Ipoozwe
Ibaki hivihivi

6. Ikiwa unahitaji kuongeza joto, unatumia nini kupasha chumba joto?

7. Ikiwa unahitaji kupooza, unatumia nini kwa kujipooza/kupoza chumba?
SEHEMU YA PILI
8. Kipi kinakukera katika hiyo njia unayotumia_

9. Je umeridhika na hiyo hali iliyopo sasa baada ya kutumia njia hizo?
Nimeridhika nayo
Sijaridhika nayo
Hata sijatafakari

10. Kama hujaridhika ni kwa sababu gani?

11. Eleza kama kuna tatizo lolote la kiafya au kijamii linalokupata kutokana na hali ya hewa ya mahala pako pa kazi kutia ndani vifaa vinavyotumika kurekebisha hali hiyo, matatizo ni kama vile:
Mafua,kikohozi, pumu, asthma, mzio, upele, kunuka mwili, usingizi, kupoteza umakini, fangasi, kupauka, nguo hazikauki na mengineyo.
Andika yote unayojisikia

(a) Katika hali ya joto


(b) Katika hali ya baridi


12. Kwako wewe, kwa upendeleo wako kukaa penye baridi au penye joto wapi ni afadhali?
Joto
Baridi

13. Ukijiangalia kiumbo wewe ni..

SEHEMU YA TATU.
14. Je unafahamu chochote kuhusiana na Dehumidifiers?
Ndiyo
Hapana
Naskiaskia tu

15. Je unahisi inatumika kwa ajili ya nini? (Maneno < 5)

16. Umezaliwa ama kuishi sana katika mkoa gani hapa Tanzania?

LAST SECTION (optional)/ SEHEMU YA MWISHO (Hiyari)

Residence city /region / Unatokea mkoa au mji gani?

Hakikisha hakuna kiungio chochote kinachosema "Ambayo bado kujibiwa" Ikiwa kipo bofya ili kujibu. Jaribu kugusia kila swali lililoulizwa. Kisha 'Tuma majibu'.
Asante sana..