huduma sahili

LoGo

Orodha ya huduma na watoa huduma mbalimbali utazipata hapa. Unaweza kutangaza huduma yako hapa

GO_HOME

Huduma zitolewazo

Kuchapisha kwenye mtandao
Mtu yeyote mwenye utafiti uliofanyika kwa njia yoyote ile. Anakaribishwa kuuandaa na kuchapisha bure katika wavuti hii wasilisha


Kuendesha tafiti kwa mtandao
Unaweza kuendesha ukusanyaji wa data na kujaza dodoso kupitia mtandao huu ona mfano hapa chini.

Tunaishi katika mazingira yenye hali tofautitofauti. Joto, baridi na unyevunyevu vikibadilika kila kukicha. Utafiti ufuatao unaangazia changamoto pamoja na maoni ya wananchi kuhusiana na hali ya hewa. Shiriki

Mambo madogo madogo yanaweza kuwa na uhusiano tata sana na bailojia! Je namna tunavyotumia simu zetu, ina uhusiano moja kwa moja na muonekano wetu? shiriki utafiti huu kusaidia kuweka bayana uhusiano huo ikiwa upo. Shiriki


Maelezo na majibu